Top diamond Secrets
Mwenyewe kasema alikuwa analipwa ila matumizi yalikuwa makubwa sababu alipaswa kufanana na mtu anayemfanyia kazi.Yani Diamond alipwe thirty% ya bajeti nzima, bado kuna Davido ambaye kimziki ni mkubwa kuliko Diamond naye alipwe shall we say forty% ya bajeti kisha kinachobaki ndio kigharamie ukumbi, vyakula na vinywaji, wasaani wengine, and so forth?